ANGALIA, TUNZA & HIFADHI 

Jumuiya ya ulinzi na uhifadhi wa nguva iliundwa mwaka 2012, ikiwa na malengo ya kuendeleza hifadhi na ulinzi wa nguva pamoja na viumbe wengine wa bahari katika magharibi ya bahari ya hindi

Tunaangalia zaidi katika utafiti na uhifadhi wa nguva na makaazi yake makuu, nyasi bahari.  Ongezeko la elimu kuhusiana na jinsi nguva wanavyoishi na viumbe wengine katika mfumo wa mahusiano ya maisha ya viumbe hai wa bahari ni muhimu kwa maendeleo ya mradi wa hifadhi.

Tunaamini kwamba suluhisho muhimu katika  changamoto za hifadhi kuhusiana na nguva katika magharibi ya bahari ya hindi iko katika kukuza uelewa wa hifadhi katika jamii na vijana. katika mradi wa elimu ya kuangalia, kutunza na hifadhi  tumedhamiria kuendeleza ustadi wa mazingira ya bahari kupitia programu shirikishi za elimu mashuleni. Mwamko ambao tunauamini utaenea kupitia  wasomi kwenda kwenye familia na jamii kiujumla, na kwa kipindi kifupi tu kutapatikana viongozi wa kesho wenye  uelewa wa hifadhi na 

Mozambique

Mozambique

The distribution and status of dugongs in the coastal waters of Mozambique

Tanzania

Tanzania

Kenya

Kenya